Looking for strategic land that gives you future returns and business potential? This 600sqm gem sits only 86 meters off the main Bagamoyo Road — a fast-growing commercial corridor in Tanzania! Offering unmatched convenience, visibility, and long-term value. Why Buy Now? With the upcoming BRT project on Bagamoyo Road, this area is set for a surge in property...
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 50 linafa kulima mazao ya aina yoyote au makazi umbali kilometa 5 kutoka lami bei sh laki nane kwa heka moja barabara shafi mpaka shambani kuona bule kalibuni sana kiwangwa bagamoyo pwani
ENEO LINAUZWA KISESA -ukubwa wa eneo ni heka moja ( 70x70 ) -eneo lipo karibu na barabara ya lami -umeme, maji na barabara vyote vipo site -bei Milioni 25 📞 0743220097
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 40 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 4 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kuona bule asante sana
BEACH PLOT INAUZWA NYANGUGE -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -ukubwa wa eneo ni heka mbili (2) -eneo linafaa kwa makazi, biashara -bei Milioni 78 ( mazungumzo yapo) NB:- -Kuna beach plot ya heka 25 imeanzia ziwani inauzwa yenyewe ipo nyanguge karibu na bugando beach -Njoo na surveyor ( mpimaji ) kuhakiki eneo ☎️ 0743220097