29 Products For Sale in 11063983
Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
LAM Beauty Store
1 year
Portia Set
TZS 120,000
Portia Set
Dar es Salaam
Tunza ngozi yako Full set available ????0620892491 #tunzangoziyako #ngozinzuri #glowwithus #glowup
TZS 120,000
LAM Beauty Store
1 year
Eddy
1 year
Mtc store
1 year
Mtc store
1 year
LAM Beauty Store
1 year
Daudi Andrew
1 year
Fatuma Mussa
2 years
LIVEN ALKALINE COFFEE
TZS 40,000
LIVEN ALKALINE COFFEE
Dar es Salaam
Liven alkaline coffee ni kahawa bora isiyo na caffaine na iliyochanganywa na virutubisho vitokanavyo na mimea ya asili. kazi yake ni: 1. kukupa nguvu 2. kutatua changamoto ya nguvu za kiume 3. kutibu magonjwa sugu kama kisukari, pressure, vidonda vya tumbo 4. kuondoa sumu mwilini 5. kuondoa hamu ya ulevi 4. kuimarisha kinga ya mwili Kuipata tupigie 076420385...
TZS 40,000
Fatuma Mussa
2 years
C24/7 supplement
TZS 75,000
C24/7 supplement
Dar es Salaam
Hii ni C24/7 ni bidhaa pekee inayotibu na kuzuia magonjwa zaidi ya 100 kwa wakati mmoja. . Mpaka yale magonjwa sugu kama kisukari, Pressure, Fibroids cancer, ulcers, uvimbe, Teza dume, Matatizo ya uzazi na mengine mengi kibao. . Ni kirutubisho kilichobeba zaidi ya virutubisho 22,000 kama vitamins zote A_B12, Zinc, Calcium, Proteins, Amino acids, uyoga aina 1...
TZS 75,000
Mtc store
2 years
Soap & glory face wash & clarity
TZS 50,000
Soap & glory face wash & clarity
Dar es Salaam
SOAP & GLORY VITAMIN C FACIAL WASH PRICE: 50,000/= Inacleanse uchafu wote na ku unclog your pores without over drying • Ina fight spot causing bacteria • Pia ina tone your skin leaving it feeling extra clean * Tighten pores, kwa wale wenye large visible pores Ina control shine • Ina zuia uso kupata breakouts za mara kwa mara % Ina tengeneza povu haraka a...
TZS 50,000
Mtc store
2 years
Disaar vitamin c oil
TZS 10,000
Disaar vitamin c oil
Dar es Salaam
DISAAR VITAMIN C OIL AVAILABLE Th 10,000 • Oil nzuri ya vitamin c inasaidia kuondoa madoa mwilini * Wale wenye chunusi za mgongoni na kifuani hii oil inasaidia sana • Yanalainisha sana ngozi • Yanaipa unyevu ngozi • Hii oil haichubui inafaa kwa wanawake na wanaume! •' Ngozi ya mwili ina glow vizuri! Price: 10,000
TZS 10,000
Mtc store
2 years
Clonovate cream
TZS 70,000
Clonovate cream
Dar es Salaam
CLONOVATE CREAM ZIPO DUKANI ! ! * Hii ni kwa wale wanaopenda weupe • Wale wanaopenda kung'aa saana. § Inatoa Black/dark spots zilizoshindikana kwenye mwili wako. *' Inaondoa sugu, viwiko, magoti, weusi mapajani na seem zingine zenye weusi sugu. • Kama hutaki kung'aa sana tutakuelekeza jinsi ya mix na mafuta mengine ili kupata mng'ao wa wastani. • Inakufanya ...
TZS 70,000
Mtc store
2 years
Dr.teals body crub
TZS 45,000
Dr.teals body crub
Dar es Salaam
DR Teal's BODY SCRUB AVAILABLE Zina exfoliate, zinaondoa uchafu kwenye ngozi, Hizi ni moia wapo va scrub zinazopendwa saana na zinazotumiwa na watu wengi Hizi scrub zina exfoliate, ukimaliza kujiscrub unapata a very soft feeling na ngozi haibaki kavu. Ulazo wake pia mkubwa unakaa navo mda mrefu! Get smoother skin with Dr Teal's Body scrub! Available in Pink ...
TZS 45,000
Mtc store
2 years
Dr. Teals moisturizing bath &body oil
TZS 35,000
Dr. Teals moisturizing bath &body oil
Dar es Salaam
Dr teals moisturizing Bath & Body oil available Tsh 35,000 -Body oil nzuri saana unaweza kuitumia ukiwa unaoga unaweka few drops kwenye maji ambayo unaoga hi husaidia saana ngozi kuwa na moisture unapotoka kuoga au ukaipaka baada ya kuoga wakati ngozi ikiwa na unyevu! Ina penetrate kwenye ngozi haraka na kuacha ngozi ikiwa moisturized vizuri saana! -ukit...
TZS 35,000
Mtc store
2 years
Heel balm
TZS 15,000
Heel balm
Dar es Salaam
HEEL BALM For rough,Dry & Cracked feet -Matatizo ya Miguu ilivopasuka Yenve Fungus -iliyokauka na kutoa ngozi Inafanva miquu iwe soft PRICE: 15,000/=
TZS 15,000
Mtc store
2 years
Kojie san soap
TZS 15,000
Kojie san soap
Dar es Salaam
KOJIE SAN SOAP Hii ni sabuni nzuri sana inafanya ngozi kuwa soft na smooth _inakupa glowing skin nzuri _inangarisha ngozi vzr bila kukupa sugu _inaondoa mikunjo chunusi na makovu vote mwilini Inaondoa weusi kwapani na katikat ya mapaja PRICE: 15,000/=
TZS 15,000
Mtc store
2 years
Prettybe body wash
TZS 25,000
Prettybe body wash
Dar es Salaam
PRETTY BE WHITENING EXFOLIATING BODY WASH •inaondoa taka zote kwenye ngozi •inalainisha ngozi na kuwa nyororo •inaondoa cell za ngozi zilizo kufa •inang'arisha ngozi na kuipa nuru •inaharufu nzuri sana •inafifisha madoa na mabaka kwenye ngozi •inatumika kwa watu wote PRICE: 25,000/=
TZS 25,000
Mtc store
2 years
Milk whitening cream
TZS 20,000
Milk whitening cream
Dar es Salaam
DR. JAMES BODY CREAM AVAILABLE IN OUR STOCK •inasaidia kulainisha ngozi na kuwa nyororo Vinasaidia kuondoa makovu inasaidia kupunguza stretch marks inasaidia kung'arisha ngozi yako haichubui PRICE: 20,000/=
TZS 20,000
Mtc store
2 years
Portia pomegranate body cream
TZS 35,000
Portia pomegranate body cream
Dar es Salaam
PORTIA POMEGRANATE BODY CREAM With EXTRA TISSUE OIL • inasaidia kufifisha ile michirizi sugu inalainisha ngozi na kufanya iwe na unyevu inasaidia kuodoa madoa • inasaidia kwa wenye pumu ya ngozi • ina anti aging ambavo inasaidia kuondoa makunvanzi • inasaidia kung'arisha ngozi PRICE: 35,000/=
TZS 35,000
Mtc store
2 years
Epimax cream
TZS 25,000
Epimax cream
Dar es Salaam
Epimax za watoto na wakubwa ni Mafuta mazuri kwa watu wenve [ Pumu ya Ngozi (Eczema) Mapunye Mapele Ukurutu Muwasho wa Ngozi PRICE: 25,000/=
TZS 25,000
Mtc store
2 years
Catherine herbal tea
TZS 25,000
Catherine herbal tea
Dar es Salaam
Catherine Tea Majani ya Chai ya ➰Kupunguza Mwili ➰Tumbo ➰Kitambi ➰Inatoa Gas tumboni ➰Inatoa Taka Mwili (Detox) Elfu 25000 Kwa jumla 20000 Kuanzia 5 NO FREE DELIVERY
TZS 25,000
Mtc store
2 years
Mtc store
2 years
Mtc store
2 years
Dove shower gel
TZS 35,000
Dove shower gel
Dar es Salaam
Dove shower gel original kabisa zipo dukan Shower gel hi inanukia vzr sana • Inaexfoliate ngozi yako vzr • Inaondoa taka zote mwilini na kukuacha ukiwa smooth • Inakupa glowing skin a moisturizer muda wote Na ina povu jingi sanaa Bei 35000
TZS 35,000
Mtc store
2 years
Soap & glory body butter
TZS 65,000
Soap & glory body butter
Dar es Salaam
SOAP & GLORY BODY BUTTER AVAILABLE The best thing kuhusu hizi body butters Zina absorb haraka kwenye ngozi, there is nothing like a greasy feeling ukitumia hizi, harufu yake sasa nzuri saana Ziko formulated kwaajili ya ngozi kavu sana, kama una ile super super dry skin hizi body butters ziko heavy zinashika kwene ngozi vizuril mno na kwa mda mrefu! Very ...
TZS 65,000