Tunahakikisha unaweza kutoa risiti popote ulipo kwa garama nafuu hata kama hauna bando utaweza kutumia mfumo wa VFD. Huu mfumo umethibitishwa na TRA kutoa risiti halali za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi.
Nauza shamba la Eka 350 lipo Wami Mkoko Kata ya Msata linaumbali wa kilometa 12 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa laki 300,000/= kwa mawasiliano zaidi Pga no..0659628665/=0625929692/=
Nauza shamba Kiwangwa Bagamoyo lenye ukubwa wa heka 350 lipo umbali wa kilometa 10 kutoka barabara kuu ya lami kila heka moja inauzwa laki 300,000/= mawasiliano zaidi.0659628665/=
Full furnished 2Bedrooms apartment located at Upanga Sea view is available for Sale. GROUND FLOOR HOUSE. Selling price. 125,000.USD. Agent commission 5% FEATURES. Dining room Sitting room Kitchen Public toilet For more details call ???? ???? 0688 412 890.
Pikipiki ya umeme imetumika miezi miwili tu, unapata na helmet bure. Unaweza washa kwa remote na funguo pia. Unapewa funguo mbili, moja ni spare mpya kabisa. Very classic. Nauza kwa bei ya hasara kabisa ingawa inafanya kazi vizuri, hilo vumbi kwenye picha lisikichanganye njoo ujionee.Changamkia fursa na pia maongezi yapo.