Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
NYUMBA INAUZWA ILEMELA JIRANI NA MWANZA AIRPORT -ina vyumba vitatu vya kulala ( viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo, extra room na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,123 -ina hati miliki ya wizara (99 yrs ) -ina Air condition, makabati, servant quater, standby generator na car parking space kubwa -nyumba ya kwanza kutoka barabara y...