Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
Nyumba inauzwa buswelu -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 40x30 =1,200 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 75