Nauza shamba lenye ukubwa wa Eka 300 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba hili linapatikana Mbwewe shamba linafaa kwa kilomo ufugaji na makazi mfano wa kilimo vinavyo stawi Mkonge Mahindi Ufuta Alizeti Minazi Nanasi Mihogo Michungwa Miembe kwa mawasiliano zaidi piga no 0659628665