Nyumba ya Ghorofa Moja, Vyumba 4 vya kulala vyote ni Master na Makabati ya nguo, Sebule kubwa na eneo la kulia chakula (*Dining*), Jiko la kisasa lenye makabati, Eneo la kupaki magari kubwa (Parking Space), Garden ndogo na mazingira safi, Potential area, Laundry Area & Storage Room, Tiles, Gypsum and Sliding Windows and Door.
NewNyumba za KupangaMbweni Teta - Ugogoni, Mtaa Wa Lemba