Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka linafa 2 lina nyumba ya vyumba 2 vyote kwa pamoja panauzwa sh milioni kumi lipo kijiji cha msinune kuona biasha bule asanteni sana