Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
"RAI YA JENERALI" ni kitabu cha makala za mzee Jenerali Ulimwengu. Hiki kitabu ni juzuu ya tatu; kina makala zote za mwaka 1996, zilizoandikwa na Jenerali Ulimwengu.