Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
Nyumba ya vyumba viwili (2) vikubwa, Sebule kubwa na jiko na choo. Madirisha safi makubwa na mapya ya Aluminium. Ukubwa wa eneo ni hekari moja kasoro, lipo karibu kabisa na barabara inayoelekea kivuko cha Busisi.