Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
Presha(Shinikizo la Damu) ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za Presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II) PRESHA YA KUSHUKA. PRESHA YA KUPANDA. Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya da...