Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
Nyumba mbili zinapangishwa, zipo kwenye compond moja ndani ya ukuta. Zinajitengea kwa kila kitu. Maji ya dawasa na umeme zipo. Sebule kubwa, jiko, dinning, public toilet, vyumba viwili kimoja master. Slidding window, chini tukes, juu gypsum. Ni mpya kabisa. Zipo goba kulangwa karibu na hospitali kwa masister. Karibuni.
KWA MILIONI 25 UNAMILIKI KIWANJA KARIBU SANA NA BAHARI, Ni sehemu nzuri sana iliyongeka, Ni mita 600 kutoka barabara ya lami, NI OFA YA WIKI MBILI TU, SITE VISIT NI KILA SIKU, Piga simu uwahi Ofa hii tamu, 0623590196