Bei ya Bidhaa mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Mwanza Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
Tunauza samaki wakukaanga dagaa pamoja na samaki wakubanika walioandaliwa vizuri sehemu safi wasiokuwa na vumbi wala mchanga tuna tafuta wajasiriamali wenye vibanda sokoni Tanzania nzima kwa ajili ya biashara tupigies simu kwa maelezo zaidi