8128 Products For Sale in Dar es Salaam
Hizi hapa Bidhaa mbalimbali zinazopatikana Dar es Salaam. Nunua simu, kompyuta, gari, ardhi au bidhaa yoyote mkoani Dar es Salaam kwa bei nafuu kupitia Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Atuganile Mwakitalu
1 year
Loris reed diffuser
TZS 25,000
Loris reed diffuser
Dar es Salaam
Hizi ni air freshener za nyumbani,ofisini ni nzuri sana zinanukia vizuri na harufu ya muda.. Zipo kwa flavour nyingi pia.. Karibu tuifanye nyumba au ofisi yako inukie
TZS 25,000
Abdallah Masudi
10 months
M10 earpod
TZS 25,000
M10 earpod
Dar es Salaam
Brand new Good sounds quality Wireless connection
TZS 25,000
Ahmadi Luonyo
2 years
Dawa ya Kuondoa mashetwani na uchawi
TZS 25,000
Dawa ya Kuondoa mashetwani na uchawi
Dar es Salaam
Zain baba lao nindawa asilia muhimu kwa Kuondoa mashetwani na uchawi mwilini Kama vile 1)Kuondoa shetwani lililojifocha tumboni 2)Kuondoa uchawi huliokula pasipo kujua 3)Kuota unaingiliwa kimwili pasipo ridhaa yako 4)Kuota njozi hunakabwa na jitu lisiloonekana 5)Kujikinga na wachawi na majini 6)Kuumwaumwa kusikoonekana ukipimwa maradhi hayaonekani 7)Kuondoa ...
TZS 25,000
Pro
Lynnewillyz
6 months
Dress XL
TZS 25,000
Dress XL
Dar es Salaam
Tupo Mbezi Luis, Kwa Robert, Mtaa wa Ebenezer, vuka upande wa pili kunasimama bodaboda nyingi, fuata njia ya udongo upande wa bodaboda. Karibuni
TZS 25,000
Pro
daniel Matemu
1 year
Michael King
3 weeks
Dieudonne Makila
5 months
Electrical calluse remover
TZS 25,000
Electrical calluse remover
Dar es Salaam
"Don't just treat calluses; eliminate them for good. The Electrick Callus Remover promotes healthy skin renewal by gently removing dead, hardened layers. Regular use not only eliminates unsightly calluses but also prevents them from returning, ensuring long-term comfort and foot health.
TZS 25,000
Kayuuz Collections
1 year
Viatu vya kike
TZS 25,000
Viatu vya kike
Dar es Salaam
Karibuni viatu vya kike (Heels). Size zote zipo kuanzia 36-41. Tunafanya delivery kwa Dar na mikoani tunatuma. Mawasiliano ni 0693779262 (Normal or WhatsApp)
TZS 25,000
Pro
Sudi
2 years
SAUVAGE PERFUME
TZS 25,000
SAUVAGE PERFUME
Dar es Salaam
Hii ni perfume Original kabisa yakiume na inauwezo wakukaa ktk nguo zaid ya masaa 24 wahi sasa ujipatie kilicho bora kutoka kwetu.
TZS 25,000
Pro
Mohammed Jivanjee
1 year
Pro
Mohammed Jivanjee
10 months
Shezanah Masoud
1 year
Events cakes
TZS 25,000
Events cakes
Dar es Salaam
Karibuni keki aina zote kwaajili ya shughuli zote... nipigie nikuhudumie
TZS 25,000
BARAKA DADI
1 year
Pro
Mohammed Jivanjee
5 months
Abdallah Masudi
1 year
GAME PADS
TZS 25,000
GAME PADS
Dar es Salaam
Brand new Wire control Wireless connection PS2, PS3 PS4 & XBOX
TZS 25,000
BARAKA DADI
2 years
Ahmadi Luonyo
2 years
Dawa ya baridi yabisi(ARTHRITIS)
TZS 25,000
Dawa ya baridi yabisi(ARTHRITIS)
Dar es Salaam
Baridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa watu wengi katika siku za hivi karibuni maradhi haya ni makali kiasi kwamba humtesa mtu na kumfanya kuwa mlemavu na hata kupelekea kifo wakati mwingine NINI HUSABABISA MARADHI HAYA Ni huwepo wa sumu nyingi za tindikali mbaya katika mwili uric acidi wakati mwingine ni maambukizi ya bacteria virusi na matatizo ...
TZS 25,000
Viregar Lastborn
1 year
Versatile ya ALAF
TZS 24,448
Versatile ya ALAF
Dar es Salaam
Versatile Inapatikana kwa geji 28 pekee na inakuja katika gloss na matte Finish. Upana wake ni 1015 mm (upana wa halisi). Urefu wa kawaida ni mita 2.1, 2.4, 2.7,3.0, 3.3, 3.6, 3.9, 4.2, 4.5 na 4.8 na inaweza kuongezwa hadi mita 6. Versatile gloss inauza kwa Tsh 23,311 mita moja matte inauza kwa Tsh 24,448 kwa mita. Kipindi cha Warranty (udhamini) wa gloss na...
TZS 24,448
Pro
ZADRAN TRUCKS
1 year
MERCEDES BENZ 1824 DUMPER TRUCK 4X4).
$ 24,000
MERCEDES BENZ 1824 DUMPER TRUCK 4X4).
Dar es Salaam
MAKE Mercedes MODEL 1824 TYPE Dumper GEARBOX Manual CYLINDERS 6 – Six AXLES 2 – Two W/DRIVE 4 X 2 MILEAGE 267000Km YEAR 1996 POWER 241 Hp WEIGHT 10000 Kg COLOR White CAPACITY 10000 Kg CONDITION Good Dimension Length 7.20 Meter Width 2.50 Meter Height 3.10 Meter Total CBM : 55.800
$ 24,000
Pro
mabati bei rahisi tz1
1 month
mabati
TZS 24,000
mabati
Dar es Salaam
Chenga chenga migongo mipana 30g
TZS 24,000
Hekima Sanga
1 year
Viregar Lastborn
1 year
Mabati
TZS 23,500
Mabati
Dar es Salaam
Offer ???? za Mabati Mwisho wa Mwaka!!!! Offer ???? ya Bei za Bati Viwanda Vyote Gauge 30 kwa Pc Moja SUNSHARE Bei ni 36,852/= ALAF Bei ni 35,000/= KIBOKO Bei ni 28,750/= SUNDA Bei ni 26,500/= KING LION Bei ni 25,500/= SUNBANK Bei ni 25,000/= HAOMAI Bei ni 23,500/= SHIELD Bei ni 22,500/= ☎️: 0787 382840/0758 846435
TZS 23,500
Collin Singa
2 years
Football
TZS 23,500
Football
Dar es Salaam
Mipira ya miguu na ni ya ngozi tunauza kwa jumla kwanzia mipira 4 ipo unakaribishwa sana iko powa kabisa unakaribishwa sana ????ZINAPATIKANA KWA JUMLA NA REJAREJA . ????Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa vya maofisini na mashuleni (STATIONERIES) kwa bei ya JUMLA. (Rejareja inapatikana pia)
TZS 23,500
Mr Online
1 year
3pcs Water Bottle Fancy
TZS 23,000
3pcs Water Bottle Fancy
Dar es Salaam
Unique Shape, Gradient Color with Beautiful Pattern. Suitable for Beach, Outdoor Travel, Camping, Sports, School, Office and Other Occasions. Special Gifts for Kids, Family and Friends.
TZS 23,000
Pro
Joshua Msungu
2 months
TUNAUZA MABATI JUMLA NA REJA REJA
TZS 23,000
TUNAUZA MABATI JUMLA NA REJA REJA
Dar es Salaam
Kwa mahitaji ya bati za rangi/msauzi ya rangi wasiliana nasi leo ujipatie bidhaa ilio katika ubora wa hali ya juu Bati zilizopo 1. Migongo mipana 2. Migongo midogo 3. Migongo mipana chengachenga 4. Muundo wa kigae Wahi sasa ujipatie ofa ya usafiri bure hadi site karibuni sana Kwa ushauri na kufahamu zaidi usisite kututafuta
TZS 23,000