1099 Bidhaa For Sale in Tanzania
Hizi hapa bei mbalimbali za Bidhaa mpya na used kutoka kwa wafanyabiashara Tanzania. Find great deals from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Muuza Magari
2 months
Chilimbageman Used motor Tz
1 year
TOYOTA MARK X
TZS 684,014,751
TOYOTA MARK X
Dar es Salaam
Toyota Mark X year:2005 4GR engine Bei ni 7.8M chap???? Piga simu uone gari Call/watsapp 0684014751 Kama uko dar es salaam Unauza gari yako nipigie tukukwamue kwenye matatizo *@george-magari* Call/watsapp +255 684014751
TZS 684,014,751
Ali Bakar
1 month
Plot sales
TZS 425,000,000
Plot sales
Zanzibar Central/South
The plot has 19236.50msq It may take 4minute driving to the beach. I have full documents. The plot is nearby the main road. I am here because i know that it's the right place to me to get a buyers to plot We can have negotiation on price
TZS 425,000,000
Mg EDition
2 years
Furnished house for sale in Arusha, maji ya chai, Near African Lounge.
TZS 400,000,000
Furnished house for sale in Arusha, maji ya chai, Near African Lounge.
Arusha
FURNISHED HOUSE FOR SALE ARUSHA, MAJI YA CHAI, (PRICE 400MILLION) NEAR AFRICAN LODGE, - 2km from Arusha, Himo road - 600sqm - 4 Bedrooms (All self-contained) - 1 Public Bathroom (upper floor) - 2 Living room areas - 4 Balcony with stunning views - Store near the kitchen - Kitchen, with Cabinets, and inbuilt Oven. WATER STORAGE - Reliable Water Source – IDARA...
TZS 400,000,000
Esther Joshua
2 years
HOUSE FOR SALE
TZS 380,000,000
HOUSE FOR SALE
Dar es Salaam
The size of the plot is Appr.800sq.meters.6 self-contained bedrooms,two public toilets (1ground floor 1 1st floor),2kitchens,2 Sitting rooms,2 Dining rooms,3 balcony's (front,LHD and 1st floor). The house has single phase electricity but applied to be upgraded to three phase from TANESCO.water supply from Dawasco/DAWASA. Well secured security fence,parking b...
TZS 380,000,000
Amour Saphy
1 week
House
TZS 300,000,000
House
Dar es Salaam
Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala, Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara. Nyumba Haina Kipengele Chochote. Mawasiliano O654542366 Mmiliki, kar...
TZS 300,000,000
Mamy
1 year
House in Tunguu, Zanzibar
TZS 130,000,000
House in Tunguu, Zanzibar
Zanzibar Urban/West
1) Nyumba ipo Tunguu viwanja vya plan. 2) Ni nyumba nzuri haijachakaa ya kuhamia moja kwa moja. 3) Ina vyumba vitatu: viwili ni master. 4) Ina ukuta na electric fence. unaweza kupaki gari tatu ndani ya fence. 5) Nyuma ya nyumba ina nafasi ya kutosha, unaweza kujenga vyumba vya ziada viwili. 6) Kuna kisima na Tenki ya maji. 7) Jiko, public toilet, dining, sto...
TZS 130,000,000
abraham barreth
1 month
House
TZS 108,000,000
House
Njombe
Nyumba Inauzwa Njombe Location:Kambarage,Njombe Mjini Eneo:1792 sqm vyumba 4 self-contained sitting room Public washroom Elevated landscape(Mandhari ya juu) Price:One hundred million and eight tanzania shillings only. :Shillingi Milioni Mia Moja na nane tu.
TZS 108,000,000
Jane
1 month
Joseph Tarimo
2 years
Inaongeleka
TZS 65,000,000
Inaongeleka
Dodoma
house for sale dodoma city mtaa wa ilazo extension, vyumba vinne master sebule dining jiko na store full documents. bei million 65 0766898076
TZS 65,000,000
Joseph Tarimo
2 years
Joseph Tarimo
2 years
Dodoma
TZS 57,000,000
Dodoma
Dodoma
HOUSE FOR SALE DODOMA CITY Mtaa Ipagala Karibia N Office Z Wazir Mkuu Vyumba Vinne Vwil Master Sebule Jiko Dining Store Bei Mill 57 Full Document 0766898076
TZS 57,000,000
Warda Msongo
1 year
House
TZS 55,000,000
House
Dar es Salaam
Nyumba ina: Umeme, maji muda wote kuna tank na kisima, nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja ni master, public toilet, sitting room, jiko kubwa na stoo. Kuna air conditioner, washing machine, refrigerator, water dispenser, wardrobe, vitanda viwili na magodoro matatu, tv na sofas
TZS 55,000,000
Misanya .a
1 year
Pagala
TZS 50,000,000
Pagala
Dar es Salaam
Pagala linauzwa Lipo Kongowe ya Mbagala (Binguni A) Kiwanja ni 40 kwa 81 Nyumba ina vyumba 4 kimoja master bedroom Nyumba ina fensi
TZS 50,000,000
Joseph Tarimo
2 years
hub technology
3 months
BOAT FOR SELL
TZS 41,000,000
BOAT FOR SELL
Dar es Salaam
Boat Yamaha 2010 2012 Make: HMADE Model: 00TRLR Engine capacity: 300 SE 4.2litres : 4 cylinders 2stroke Horsepower: 300 hp Body shape: BBT GVM: 400 Fuel: unleaded gasoline 5 SEATER including Trailer
TZS 41,000,000
Rahimu Ally
2 weeks
Beach Plort Tanga Sange
TZS 40,000,000
Beach Plort Tanga Sange
Tanga
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 1 bei ni million 40 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
TZS 40,000,000
Rahimu Ally
2 weeks
Beach Plort Mkwaja Tanga
TZS 35,000,000
Beach Plort Mkwaja Tanga
Tanga
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
TZS 35,000,000
Rahimu Ally
2 weeks
Tanga beach Plort
TZS 30,000,000
Tanga beach Plort
Tanga
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami bei ni milioni 30 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
TZS 30,000,000
ABASI ATHUMANI CHILO
2 weeks
Sniper Golden
1 year
Kigoda
9 months
Chilimbageman Used motor Tz
1 year
Ivanus Renatus
4 months
HOUSE FOR SALE
TZS 16,000,000
HOUSE FOR SALE
Dar es Salaam
NYUMBA INAUZWA MILLION 16 IPO MSONGOLA MTAA UMECHANGAMKA VYUMBA 3 SEBULE JIKO CHOO PIGA SIMU 0780966722 WhatsApp wa.me/255780966722
TZS 16,000,000
Rahimu Ally
2 weeks
Kiwangwa Bagamoyo
TZS 15,000,000
Kiwangwa Bagamoyo
Pwani
Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi
TZS 15,000,000