Hizi hapa bei mbalimbali za Kompyuta na Vifaa mpya na used kutoka kwa wafanyabiashara Tanzania. Find great deals from verified sellers on Zoom Tanzania.
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk
Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi. Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi. Linafaa kwa kilimo cha...