Hizi hapa bei mbalimbali za Vifaa Vya Ujenzi mpya na used kutoka kwa wafanyabiashara Tanzania. Find great deals from verified sellers on Zoom Tanzania.
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk