Nauza shamba renye ukubwa wa ekari 200 kira ekari moja inauzwa raki mbiri na ishirin 220000 shamba hiri ripo kata ya mbwewe kijiji cha mpaji eneo nizuri sana gari njia safi muda wote unapita iwe kiangaz iwe masika
Eneo linauzwa lipo mbwewe linaukubwa wa heka 50 lipo barabarani kabisa na kutoka lami kilometa 2 bei sh laki saba kwa heka moja eneo linafa kwa prani yoyote maogezi kwanye eneo kalibuni sana kuona bule asanteni sana