1878 Magari For Sale in Tanzania
Hizi hapa bei mbalimbali za Magari mpya na used kutoka kwa wafanyabiashara Tanzania. Find great deals from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Kunda Kornel
2 years
Moudric Ramsey
2 years
TVS 125 INAUZWA
TZS 1,500,000
TVS 125 INAUZWA
Dar es Salaam
Hii pikipiki ipo kwenye hali nzuri sana, ilikua inatumika kwa matumizi binafsi ya mmiliki na haikuwahi kutumika kama boaboda. Njoo ujichukilie pikipiki nzuri kwa bei rahisi. FULL DOCUMENTS Haina mbaambamba. 0655 594859
TZS 1,500,000
Deo D
1 year
Dias Pius
1 year
AMEG ELECTRIC BIC
TZS 1,300,000
AMEG ELECTRIC BIC
Dar es Salaam
Pikipiki ya umeme imetumika miezi miwili tu, unapata na helmet bure. Unaweza washa kwa remote na funguo pia. Unapewa funguo mbili, moja ni spare mpya kabisa. Very classic. Nauza kwa bei ya hasara kabisa ingawa inafanya kazi vizuri, hilo vumbi kwenye picha lisikichanganye njoo ujionee.Changamkia fursa na pia maongezi yapo.
TZS 1,300,000
Jackson nyalusi
1 year
Boxer cc 125
TZS 1,300,000
Boxer cc 125
Pwani
Pikipiki kali Haina changamoto yoyote Ipo kibaha Tyre safi Injini safi
TZS 1,300,000
Tractor Provider
1 year
Tractor Parts Supplier
TZS 1,254,500
Tractor Parts Supplier
Dar es Salaam
???? Keep Your Tractor Running Smoothly! ???? Tractor Provider is your trusted supplier of top-quality tractor parts in Tanzania. From essential components to accessories, we've got you covered. Contact us for reliable parts that ensure peak performance on your farm. Your success is our priority! ????????
TZS 1,254,500
J Salvatory Salvatory
1 year
Magina Hassani
1 year
Trillionaire Jupiter
2 months
Electric bike
TZS 1,100,000
Electric bike
Dar es Salaam
FOR SELL???? SINOREI power GPS???? PIKIPIKI YA KUCHAJI???? INATEMBEA KM 100???? SPEED 100???? HAINA KIPENGELE???? NJOO DM KWA ANAEHITAJI???? PIGA 0612780397 au 0789239013 ✅✅
TZS 1,100,000
Robinson Helela
1 year
TVS PIKI PIKI INAUZWA
TZS 1,050,000
TVS PIKI PIKI INAUZWA
Dar es Salaam
Piki piki used inauzwa.ipo kwenye good condition.haijawah beba abiria na pia imefanyiwa service kila wiki.Karibu kariakoo uje kuiona.haijawah funguliwa Engine.Bei ya Ofa ni 1,050,000Tshs
TZS 1,050,000
Sakina Miraji
2 years
Elikind Lawrence
2 years
george njau
1 year
SOLARTES MEGA COMPANY LIMITED
2 years
Bei Tunaongea
TZS 1,000,000
Bei Tunaongea
Dar es Salaam
TVs used in a good condition Inatumika private Iko vzr sana Full Documents zipo.
TZS 1,000,000
Robinson Helela
9 months
TVS PIKI PIKI INAUZWA
TZS 950,000
TVS PIKI PIKI INAUZWA
Dar es Salaam
Piki piki inauzwa.Ipo kwenye hali nzuri sana.Haijawah funguliwa engine.Imekua ikitumika kwa ajili ya delivery tu.Ni piki piki ya kampuni.Ofis zetu zipo kkoo na mwananyamala.Karibuni kwa maelezo zaidi
TZS 950,000
Abib Kibiki (MFCDP-TANZANIA)
1 year
Pikipiki TVS
TZS 950,000
Pikipiki TVS
Dar es Salaam
Pikipiki bomba kabisa full document, haina kipengele, ni kupiga starter na kuondoka. Tshs 950,000 tu
TZS 950,000
JACKSON ERNEST
2 years
Daniel Hotay
7 months
Ntigwambukwa Jacob
1 year
Porlyn Said
1 year
Pro
RM &companies
1 year
Stephen OSI
2 years
Elikind Lawrence
2 years
Pro
Mohammed Jivanjee
2 years
Pro
Mohammed Jivanjee
2 years