Hizi hapa Bidhaa mbalimbali zinazopatikana Dar es Salaam. Nunua simu, kompyuta, gari, ardhi au bidhaa yoyote mkoani Dar es Salaam kwa bei nafuu kupitia Zoom Tanzania.
*🟢 SHAMBA LINAUZWA – KIWANGWA, BAGAMOYO 🟢* Fursa ya kumiliki ardhi yako! ✅ Ukubwa: Heka 10 ✅ Umbali: Km 4 kutoka barabara ya lami ✅ Mahali: Kiwangwa – Bagamoyo ✅ Mazingira tulivu, yanafaa kwa kilimo, ufugaji au makazi ✅ Umeme na maji karibu 💰 Bei: TSh 900,000 kwa heka (maelewano yapo) 📞 *Wasiliana na Mr. Chilo – 0714 121 506* *Miliki shamba lako leo – usipit...