Hizi hapa Bidhaa mbalimbali zinazopatikana Dar es Salaam. Nunua simu, kompyuta, gari, ardhi au bidhaa yoyote mkoani Dar es Salaam kwa bei nafuu kupitia Zoom Tanzania.
Kiwanja cha square meter 5571 pamoja na nyumba ya ghorofa moja vinauzwa maeneo ya kunduchi beach karibu na Wet and World Hotel kina Hati na kinafaa kwa uwekezaji wa Petrol Station ,Hotel ,apartment au Resident Bei maongezi yapo wasiliana kwenye simu 0656380543 kwa maelezo zaidi
Mende box board mpya Unachukua na kuanza kazi moja kwa moja Bima kubwa Haidaiwi Tairi mpya Bei. 95m maongezi yapo Gati ipo dar Muuzaji anaitaji hela ana shida
Jengo lina pangisha pia linauzwa lipo tabata Bima Second 60 kutoka lami Square meter16000 24 rooms Office 2 Electricity room Lounge kubwa moja Kitchen 5 public toilet Kila floor ina store yake Fance Maji Umeme Bei kupangisha kwa mwezi 13Mln plus furniture Kuuza bln 3.5bilion Call/Whatsapp 0782006292 0659425598