Hizi hapa Bidhaa mbalimbali zinazopatikana Dar es Salaam. Nunua simu, kompyuta, gari, ardhi au bidhaa yoyote mkoani Dar es Salaam kwa bei nafuu kupitia Zoom Tanzania.
Plot for sale in Bagamoyo ukuni area block 4 , with full documents including title deed and all land rent paid around 597 sqm corner plot. contact for further details. 0787-088481
Machine za kutengeneza peanut butter kwa bei nafuu sana. Yakwanza niyakutoa maganda kwenye karanga baada ya kuzichoma. Machine ya pili niyakusaga karanga kwa ajili ya kutoa peanut kama bidhaa ya mwisho/ final product. Machine ya kupukuchua maganda ina uwezo wa kupukuchua 150kg kwa lisaa Machine ya kusaga karanga ina uwezo wa kusaga 80-100kg kwa lisaa