LUO COUGH SYRUP ni miongoni mwa dawa nzuri sana ya asili yenye mchanganyiko wa dawa kubwa za kiarabu zenye faida ya 1)kutibu kikohozi 2)kuondoa uchakacho wa sauti 3)kupambana na mahambukizi 4)kutibu muwasho wa koo 5)kutibu vidonda kooni na kuhisi baridi 6)kupambana na kikohozi kifuani 7)kuondoa msongamano kifuani 8)kutibu kifua sugu 9)kutibu allerge
Mtu kuhisi ganzi maumivu au kuwaka Moto maeneo ya miguuni,mikononi kuhisi kama humevaa soksi au gloves wakati hujavaa ,kuhisi kama kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,kushindwa kushika au kunyanyua kitu,kuchoka kwa misuli nk