Vyumba 4 +Vyumba 2 ni Master bedroom. Sebule. Dinning . Stoo. Study room. Jiko . Eneo 1,144 sqmt- Panafaa kwa hostel ni mita chache kutoka Chuo cha Afya Kigamboni. NOTE;Nyumba imezungushiwa ukuta nusu ya eneo. Mabomba ya maji na umeme tayari yamewekwa.