Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
Tote Bag zinazodumu sana. Material yake ni nzuri mno alafu nzito. Inafaa kuwa printed chochote, Logo/Jina/Maneno n.k Size ni A3. ❌️ Haina Zipu, ina kifungo.
Awards nzuri zenye shape utakayo. Tuna design kulingana na hitaji la mteja. Nzuri na nene zenye uzito wa kawaida, rahisi kubebeka. Tunaandika maneno/picha unayotaka. Nzuri kwa matukio tofauti tofauti, kumpa Boss, Best Employee, Rafiki, Mama, Baba n.k