Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
KIWANJA KINAUZWA MALAIKA BEACH JIRANI NA AIRPORT -ukubwa wa kiwanja ni 2,111 SQM -hati miliki ipo mkononi -bei Tsh bilioni 1.2 -panataa kwa kujenga hotel, apartment, n.k -kiwanja kina view nzuri ya ziwa victoria
Mashine ya kukatia viazi kwa haraka zaidi, Ina vikatio vya size mbili, yenye matobo 36 na nyingine 64. Ni nzuri kwa kuandaa salad, kibakuli chake kina ukubwa wa 870ml. Ni rahisi kuisafisha kwa kuachanisha tu na kurudisha baada ya usafi. Karibu sana????