About seller
Karibu NMG NELLY SHOP – Duka lako la mtandaoni lenye bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu!
Tunauza bidhaa mbalimbali ikiwemo tochi, mikoba, feni, vifaa vya nyumbani, na bidhaa nyingi zaidi zinazokidhi mahitaji ya kila mteja.
Zaidi ya kuuza bidhaa, tunatoa mafunzo maalum kwa wafanyabiashara:
✅ Jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China kwa bei nafuu na salama
✅ Mafunzo ya kupata wateja wengi zaidi mtandaoni kupitia Facebook, Instagram, WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii
? Tunapatikana mtandaoni kote kwa jina:
? NMG SHOPS
? website WWW.NMGSHOPS.COM
? Wasiliana nasi sasa:
WhatsApp: 0655632464
Facebook & Instagram: @NMGSHOPS