Dawa ya kutibu magonjwa ya Ini

TZS 85,000
Health, Beauty & Fitness
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Temeke
376 views
SKU: 4001
Published 1 year ago by Amanzi Said
TZS 85,000
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
376 item views
Homa ya hini (hepatitis) ni uvimbe wa ini hunaousishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini.hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi(kovu)na ugonjwa sugu wa ini.homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au kutokuwa na dalili yoyote lakini mara nyingi huleta homa,kukosa hamu ya kula na kunyong'onyea kwa mwili.homa ya ini ni kali wakati inapodumu chini ya moezi sita na huwa sugu inapozidi miezi sita.ugonjwa huu Mara nyingi unasababishwa na virusi,lakini pia hutokea baada ya ini kupata madhara yatokanayo na sumu mbalimbali hasa pombe,madawa fulani na mimea,maambukizi mengine na magonjwa ya kinga mwili Read more

Description

Homa ya hini (hepatitis) ni uvimbe wa ini hunaousishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini.hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi(kovu)na ugonjwa sugu wa ini.homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au kutokuwa na dalili yoyote lakini mara nyingi huleta homa,kukosa hamu ya kula na kunyong'onyea kwa mwili.homa ya ini ni kali wakati inapodumu chini ya moezi sita na huwa sugu inapozidi miezi sita.ugonjwa huu Mara nyingi unasababishwa na virusi,lakini pia hutokea baada ya ini kupata madhara yatokanayo na sumu mbalimbali hasa pombe,madawa fulani na mimea,maambukizi mengine na magonjwa ya kinga mwili

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account