Programu ya Siku 9 (C9) – Njia Salama ya Kupunguza Uzito Programu ya C9 ni suluhisho la haraka na la asili kwa kupunguza uzito, kusafisha mwili (detox), na kuongeza nishati. Ndani ya siku 9, utaweza kupungua kilo 3-8 bila madhara, huku ukianza safari ya kubadili mwili wako kwa afya bora zaidi. Faida za C9 ✅ Kupunguza uzito haraka – Unaweza kupungua kilo 3-8 ...
Kichomi hutokea mapafu yanapovimba kwa sababu ya maambukizi Kama nimonia au kifua kikuu.mara nyingi tatizo hili ni ishara ya kuwepo maambukizi ya virusi kwenye mapafu.pia maumivu kichomi yanaweza kusababishwa na 1)Magonjwa yanayosababishwa na asbesiti 2)Saratani fulani 3)Jeraha au kuumia kifuani 4)Magonjwa ya baridi yabisi
KOSANAONA ni dawa bora sana ya asili yenye uwezo wa kumaliza tatizo la ugonjwa wa kifafa hunaoanza na hulioshindikana kutoka kwa madawa mbalimbali sasa hii ni kiboko ya ugonjwa huo kwa uhakika wa 100% hii hinatibu kama hifuatavyo 1)Kifafa 2)Kutoa vitu vibaya mwilini 3)Kutoa uchafu tumboni hunaotokana na vitu vibaya 4)Ni kinga ya mwili na pepo wachafu 5))Pia ...
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili Kiwan...
Forever Multi-Maca – Nguvu Asili kwa Afya na Utendaji Bora Forever Multi-Maca ni kirutubisho cha asili kinachotokana na mizizi ya maca, maarufu kwa kuongeza nguvu za mwili, kuboresha afya ya uzazi, na kuimarisha stamina kwa wanaume na wanawake. Faida za Forever Multi-Maca ✔ Huongeza nguvu na stamina – Inasaidia mwili kuwa na nguvu na kupunguza uchovu. ✔ Huim...
Forever ARGI+ – Kirutubisho cha Nguvu na Afya Forever ARGI+ ni kirutubisho chenye L-Arginine, kinachoboresha mzunguko wa damu, kuongeza nishati, na kusaidia afya ya moyo na uzazi. Faida ✔ Afya ya moyo – Hupanua mishipa ya damu na kupunguza shinikizo la damu. ✔ Nguvu na stamina – Huongeza nishati na kusaidia mwili kupata nafuu haraka. ✔ Afya ya uzazi – Hubore...
Mtu kuhisi ganzi maumivu au kuwaka Moto maeneo ya miguuni,mikononi kuhisi kama humevaa soksi au gloves wakati hujavaa ,kuhisi kama kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,kushindwa kushika au kunyanyua kitu,kuchoka kwa misuli nk
Saratani ya matiti ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti Saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za kwanza hivyo unashauriwa kufanya uchunguzi wa Saratani mara kwa mara
Homa ya hini (hepatitis) ni uvimbe wa ini hunaousishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini.hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi(kovu)na ugonjwa sugu wa ini.homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au kutokuwa na dalili yoyote lakini mara nyingi huleta homa,kukosa hamu ya kula na kunyong'onyea kwa mwili.homa ya ini ni kali wakati in...