Tiba Ya Presha/Dawa ya Presha/Dawa ya Asili ya Presha

TZS 69,000
Huduma za Urembo na Mazoezi
1 year
Tanzania
Morogoro
Morogoro
3000
2342 views
SKU: 2469
Published 1 year ago by Nutr Sood
TZS 69,000
3000, Morogoro, Morogoro, Tanzania
Get directions →
2342 item views
Zijue Faida Zitakazokuepusha na Kukutibu Presha na Magonjwa ya Moyo Kwa Haraka.

Ugonjwa wa Presha /Dawa ya Presha ya kupanda/Sababu ya Presha kupanda/Madhara ya Presha Kupanda/Tiba ya Presha/Visababishi vya Presha/Dawa ya kupungua Presha/Presha ni nini/Kushuka kwa Presha/Dawa ya Asili ya Presha/Dalili za Presha.

Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla(Structural and vessels disease).

Moja ya ugonjwa wa moyo unaokuja kwa kasi sana nchini ni ⤵;
↪Kupanda kwa shinikizo la juu la damu/Presha ya kupanda(high blood pressure/Hypertension) na kushuka kwa shinikizo la damu (Presha ya kushuka/Hypotension).

Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu,msukumo huu ukiwa mkubwa au mdogo kuliko unaohitajika mwilini ndio huitwa presha ya kupanda au kushuka.

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) sababu kuu za Presha pamoja na magonjwa ya moyo zinatajwa kuwa ni pamoja na;

????Ulaji usiofaa, ulaji usiofata taratibu za kitabibu ikiwa ni pamoja na kula chakula kingi baada ya saa kumi na moja jioni au kula chakula kingi katika mlo mmoja kuliko kiwango kinachohitajika kwa siku (RDA).

???? Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi, ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi au chumvi nyingi katika mlo wako.

????Kutokula mboga mboga za majani pamoja na matunda ambapo kitaalamu inashauriwa nusu ya kila mlo wako iwe mboga mboga za majani pamoja na matunda n.k

????Kutokushughurisha mwili/kufanya mazoezi.

*DALILI ZA MAGONJWA YA MOYO & PRESHA*

Zijue dalili ziletwazo na magonjwa ya moyo pamoja na presha ni ;

▶️Maumivu ya kifua mithili ya chembe ya moyo/chembe ya moyo.

▶️ Maumivu ya kifua kuzunguka hadi kwenye bega la kushoto.

▶️ Kuvimba kwa miguu na mikono.

▶️ Mapigo ya moyo kuwa ya chini sana au kasi sana.

▶️ Moyo kwenda mbio sana na kukosa pumzi hasaa zaidi unapotembea au kufanya shughuli zako ndogo ndogo/moyo kudunda kama mtu apiga dogoro kwa chini hasaa wakati wa kulala.

▶️ Mwili kuishiwa nguvu.

▶️ Kupata kizunguzungu na kuzimia.

▶️ Kupata ganzi kwenye miguu na mikono.

▶️Kutokwa na jasho jingi sana n.k

*MATIBABU/DAWA YA PRESHA.*
-Ni vyema kwenda Hospital kwanza kujua tatizo lako na chanzo chake kabla ya kuanza kutumia dawa.

-Ipo mimea tiba yenye uwezo mkubwa wa kutibu tatizo la presha ya kupanda/kushuka na magonjwa ya moyo kwa ufanisi mkubwa sana.

-Dawa hii ya kulamba hutumiwa na wagonjwa wa presha kwa wastani wa siku 6 hadi 10 pekee (Dozi moja) na hufanikisha kuwaacha salama na kuwaepusha na matumizi ya vidonge ya kila siku.

-Mimea hii huweza kuondoa tatizo la presha na kutoa matokeo ya haraka sana kuliko matarajio ya mtumiaji.

*NJIA ZA KUEPUKA NA KUPUNGUZA HATARI ZA MATATIZO YA MOYO NA PRESHA*

▶️ Epuka kutumia tumbaku(sigara)
▶️ Punguza kiwango cha chumvi kwenye mlo wako.
▶️ Kula mbogamboga na matunda kwa wingi.
▶️ Fanya mazoezi/Shughulisha mwili.

▶️Punguza ulaji wa vyakula vya kukaanga(vitumiavyo mafuta mengi).

▶️ Epuka unywaji wa pombe.
▶️ Jitibie/Rekebisha Kisukari yako kwenye damu.
▶️ Rekebisha uzito wako ikiwa uko juu na kiasi cha mafuta mwilini (BMI)
▶️ Kuwa na muda sahihi wa kula chakula chako.

▶️ Punguza matumizi makubwa ya Wanga katika mlo wako.

Kwa Ushauri,Maoni pamoja na Msaada wa kimatibabu wasiliana nami kwa:⤵️

Contacts
Nutr.Sood

Calls/Sms/Whatsaap: 0678640098.
Morogoro, mjini & Ilala Dsm. Read more

Description

Morogoro, mjini & Ilala Dsm.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Ahmadi Luonyo Ahmadi Luonyo 2 years
Dawa ya tezi dume
TZS 55,000
Dawa ya tezi dume
Dar es Salaam
Dawa Bora yenye mchanganyiko bora wa dawa nyingi za kiarabu ni special kwa kutibu na kukinga tezi dume
Huduma za Urembo na Mazoezi
TZS 55,000
Shara Khamis Shara Khamis 2 years
Pongwe land close to the sea for sale
$ 7,000
Pongwe land close to the sea for sale
Zanzibar North
Zanzibar land at Pongwe closer to white sand beach across the road, only 3 minutes to beach,, this area is well known because its amazing environment, the main road gives you access to Stone town, Kiwengwa, Paje, Jambiani and Makunduchi some foreigners live in Pongwe, good 4 stars hotels, restaurant and other amenities have attracted new residence, water and...
Viwanja
$ 7,000
Amanzi Said Amanzi Said 1 year
Dawa ya kikojozi
TZS 55,000
Dawa ya kikojozi
Dar es Salaam
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili Kiwan...
Huduma za Urembo na Mazoezi
TZS 55,000
mo estate mo estate 2 years
4bdrm villa for rent for rent oyster bay
$ 6,000
4bdrm villa for rent for rent oyster bay
Dar es Salaam
4bdrm villa for rent fully furnished swimming pool spacious living room it's cum dinning room nice kitchen cabinets very nice garden well maintained garden 2room en suites security 24 hours Parking space the house are nice and modern located in a prime area good neighborhood the house is good for CIO or ambassador Terms of payment six months or year $ 6000 C...
Nyumba za Kupanga
$ 6,000
Lynnewillyz Pro Lynnewillyz 5 months
Pro Nguo Ubungo Dar es Salaam 5 months
Blouse XL
TZS 28,000
Blouse XL
Dar es Salaam
Tupo Mbezi Luis, Kwa Robert, Mtaa wa Ebenezer, vuka upande wa pili kunasimama bodaboda nyingi, fuata njia ya udongo upande wa bodaboda. Karibuni
Nguo Kwa Robert, Mtaa Wa Ebenezer
TZS 28,000
Ivan Minja Ivan Minja 9 months
House for sale Goba on the way to Makongo
TZS 560,000,000
House for sale Goba on the way to Makongo
Dar es Salaam
Minja real estate & Car Broker introduce:- House for sale Goba on the way to Makongo. The house has 4 bedrooms and all masters. Kitchen and sitting room. Plot size Sqm 1200. House is secured with CCTV cameras all around. Secured with electrical fence. Price Mil 560. Kindly call/whats app if your serious buyer via 0687575770. Get in toucvh if you need hou...
Nyumba Zinauzwa Goba
TZS 560,000,000
Giovanni Palermo Giovanni Palermo 9 months
Furnished 4bdrm Villa in Sea La Vie, Moshi Urban for rent
TZS 5,000,000
Furnished 4bdrm Villa in Sea La Vie, Moshi Urban for rent
Kilimanjaro
House for rent moshi , international school road near to white house, contact via email or WhatsApp for quick response
Nyumba za Kupanga Sea La Vie, Lema Rd, Tanzania
TZS 5,000,000
Excela Joshua Excela Joshua 8 months
NYUMBA INAUZWA NA BANK MBONDOLE MANISPAA YA ILALA
TZS 25,000,000
NYUMBA INAUZWA NA BANK MBONDOLE MANISPAA YA ILALA
Dar es Salaam
NYUMBA INAUZWA NA BANK MBONDOLE MSONGOLA MANISPAA YA ILALA. IKO KWENYE CONER PLOT LOC : MBONDOLE MSONGOLA UKUBWA : SQMT 450 PRICE : MIL 25 UMILIKI : MKATABA WA SERIKALI YA MTAA SIFA:- -4BED ROOMS 1MASTER - SITTING ROOM - DINING ROOM - JIKO / STORE - PUBLIC TOILET CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://...
Nyumba Zinauzwa Mbondole Msongola Manispaa Ya Ilala
TZS 25,000,000
Lugalabam Juniour Lugalabam Juniour 6 months
NYUMBA INAUZWA KIMARA MWISHO
TZS 30,000,000
NYUMBA INAUZWA KIMARA MWISHO
Dar es Salaam
NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO KIMARA MWISHO KWA MASHAKA NYUMBA NI YA VYUMBA V2 SEBULE KUBWAA JIKO DAINING CHUMBA MASTER NJE IPO BOYCOTER YENYE VYUMBA V2 VYOTE MASTER ENEO SQM 300 HATI SELIKALI YA MTAA BEI MIL 30 UMBALI KUTOKA MORO ROAD KM 1.5 NYUMBA IPO FULL WAPANGAJI KARIBU SANA
Nyumba Zinauzwa
TZS 30,000,000
Joshua Kachala Joshua Kachala 1 year
APARTMENT FOR RENT MBEZI BEACH
$ 600
APARTMENT FOR RENT MBEZI BEACH
Dar es Salaam
#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA# INAPANGISHWA# APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH MAKONDE ——————————————————— KODI $600/=KWA MWEZI EMTY ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- APART YA KISASA _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vitatu vya kulala, #all Master #Sebule kubwa #dinning #Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public #Gypsum...
Nyumba za Kupanga MBEZI BEACH - Mbezi Beach
$ 600
Mammy Low Mammy Low 2 years
New House for Long Term Rental in Kianga
$ 800
New House for Long Term Rental in Kianga
Zanzibar Urban/West
The house is located in Mwera area in Kianga, A beautiful fully furnished 4 bedroom house. The master bedroom is ensuite and the 2 bedrooms share a common toilet and bathroom. All the common areas are big and spacious with space for a home office. The area is surrounded by amazing indegenious trees which provide fresh air. The area is quiet and hence great f...
Nyumba za Kupanga
$ 800
Lynnewillyz Pro Lynnewillyz 5 months
Pro Nguo Ubungo Dar es Salaam 5 months
Pants XL
TZS 28,000
Pants XL
Dar es Salaam
Tupo Mbezi Luis, Kwa Robert, Mtaa wa Ebenezer, vuka upande wa pili kunasimama bodaboda nyingi, fuata njia ya udongo upande wa bodaboda. Karibuni
Nguo Kwa Robert, Mtaa Wa Ebenezer
TZS 28,000
Mikocheni Motors Pro Mikocheni Motors 2 years
Toyota Land Cruiser Prado 2015, Diesel Engine. Call / WhatsApp 0756465338
TZS 145,000,000
Toyota Land Cruiser Prado 2015, Diesel Engine. Call / WhatsApp 0756465338
Dar es Salaam
Toyota Land Cruiser Prado 2015, Diesel Engine. Call / WhatsApp 0756465338 https://wa.me/255756465338 https://www.dealerlogin.co/tz/Mikocheni-Motors/Cars Japanese Used, Unregistered, Duty Paid, Location Dar Es Salaam, Color Pearl White, Engine 2800 cc, Diesel, Push Start, Clean Leather Interior, Auto Transmission, Push Start, 07 Seater, Roof Rail, Dashboard T...
Gari 0756465338 - Main Street Msasani, Near Msasani Shule Dar Es Salaam
TZS 145,000,000
Amanzi Said Amanzi Said 1 year
Dawa ya PID
TZS 25,000
Dawa ya PID
Dar es Salaam
Ni dawa bora ya asili yenye uwezo mkubwa wa kutibu na kukinga ugonjwa wa PID kwa haraka hinatibu PID ya sugu pamoja na hinayoanza kwa nini huteseke wakati suluhisho lipo wahi huje hupate suluisho la tatizo lako
Huduma za Urembo na Mazoezi
TZS 25,000
Gariyangu_Project Pro Gariyangu_Project 2 years
Pro Gari Ilala Dar es Salaam 2 years
LAND ROVER RANGE SPORT
TZS 37,800,000
LAND ROVER RANGE SPORT
Dar es Salaam
LAND ROVER RANGER SPORTS 2.7 TDV6 AVAILABLE FOR IMPORT MAKE YOUR FREE ORDER NOW
Gari Nhc House Samora
TZS 37,800,000
Excela Joshua Excela Joshua 11 months
KIWANJA KINAUZWA MADALE MNARANI
TZS 55,000,000
KIWANJA KINAUZWA MADALE MNARANI
Dar es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA LOCATION: MADALE MNARANI KIKO UMBALI WA KILOMITA 2 TOKA MAIN ROAD UKUBWA NI SQUARE METER 1400 BEI: SHILINGI MILIONI 55 MAONGEZI UMILIKI WAKE NI MKATABA WA SERIKALI YA MTAA GARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SHILINGI ELFU 30, HII HAIHUSISHI USAFIRI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> ht...
Viwanja Madale Mnalani
TZS 55,000,000
Excela Joshua Excela Joshua 1 year
KIWANJA KINAUZWA MBWENI MALINDI BLOCK C KWA MAMA SAMIA
TZS 280,000,000
KIWANJA KINAUZWA MBWENI MALINDI BLOCK C KWA MAMA SAMIA
Dar es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA, NI CORNER PLOT, KINAUZWA MBWENI MALINDI BLOCK C KWA MAMA SAMIA LOC :MBWENI MALINDI BLOCK C AREA :SQM 1387 PRICE : MIL 280 UMILIKI : HATI MILIKI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH...
Viwanja Mbweni Malindi Block C Kwa Mama Samia
TZS 280,000,000
stefan gleixner stefan gleixner 2 years
Business partner wanted, 25 million $ project, Sector: Industrial Agriculture
$ 100,000
Business partner wanted, 25 million $ project, Sector: Industrial Agriculture
Dar es Salaam
German investor is looking for a Tanzanian partner. This is an industrial-agricultural project covering 30,000 hectares (72,000 acer). Large agricultural project is looking for one partner and director. Requirements: Tanzanian passport, experience with projects, very good connections to the government. We offer: 5-40% (50 000$ to 12 000 000$) company partici...
Magari Makubwa na Mabasi
$ 100,000
Shara Khamis Shara Khamis 1 year
Jambiani land for sale
TZS 80,000,000
Jambiani land for sale
Zanzibar Urban/West
Land at Jambiani Kibigija closer to Swahili cave, its 92m x 51m , electricity, water accessible , its 7 minutes driving to beautiful beach of Jambiani, Price 91,000,000 and its negotiable , contact me now
Viwanja Mwanakwerekwe
TZS 80,000,000
Andrew Mathew Andrew Mathew 3 months
Apartment for rent in Arusha Tanzania
Check with seller
Apartment for rent in Arusha Tanzania
Arusha
Apartment for rent in Arusha Tanzania vary in size. We have 2 bedroom apartment unit, and 3 bedrooms. Both have balcony, sitting room,kitchen and car park. The price of rental apartment is affordable, and value to the real estate property you stay. Andrews Real Estate agency, offers real estate property in Arusha, and Moshi Kilimanjaro.
New Nyumba za Kupanga Arusha International Conference Centre, P O Box 16010
Check with seller
Michael Dalali Michael Dalali 6 months
FURNISHED HOUSE FOR RENT MBEZIBEACH
$ 2,500
FURNISHED HOUSE FOR RENT MBEZIBEACH
Dar es Salaam
Mita Mia toka lami ???? FULL FURNISHED HOUSE NYUMBA NI STAND ALONE ????INAPANGISHWA ????????LOCATION???? MBEZI BEACH Ni kARIBU SANA NA LAMI NYUMBA YENYE ????VYUMBA VITANO SELF VYOTE ????BEI-$2500 ????Sebule kubwa sana ????Dinning ????JIKO lenye Nzuri sana ????FULL ELECTRIC FANSE ????CAR???? PARKING ????????????????????????????????????????????????
Nyumba za Kupanga Mbezibeach
$ 2,500
Are you a professional seller? Create an account