DUKAPRO BUSINESS SOFTWARE

TZS 280,000
Other Services
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
11100 - Plot 143, Mbezi Beach Goigi
361 views
SKU: 5166
Published 1 year ago by LEAH BUZUKA DEREFA
TZS 280,000
In Other Services category
Plot 143, Mbezi Beach Goigi, 11100 Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
361 item views
DUKAPRO ni mfumo wa Offline na Online wa mahesabu unaotumika badala ya madaftari kuokoa muda na kudhibiti wizi katika biashara

Wafanyabiashara huibiwa kwa kukosa muda wa kufanya mahesabu marefu hivyo hulazimika kuamini takwimu zozote wanazopewa. 

Kwa kutumia DUKAPRO mfanyabiashara atafahamu ukweli wa mapato & stock hivyo kuchukua hatua yenye tija kwa biashara yake.

Jinsi DukaPro inavyofanya kazi

1. Software inakuwa installed kwenye computer 
2. Bidhaa zote zinaingizwa kwenye software  
3. Ukiuza/kufanya matumizi  unapost kwenye software
4. Inapunguza stock iliyopungua automatically
5. Inaandaa report za mauzo, matumizi, faida, stock & fedha
6. Bidhaa zisizotoka, zinazotoka zaidi,  zinazokaribia kuexpire / kuisha in stock  
7. Madeni unayodai/kudaiwa nk.
8. Inatoa receipt, unaweza kutumia barcode scanner . Inatumika kwenye biashara zote za jumla & rejreja, mf supermarkets , liqour stores , bars, restaurants, cosmetics, boutiques, pharmacy stores,hardware stores n.k

GHARAMA
2 Users 280,000/Mwaka
6 Users 430,000/Mwaka
16 Users 590,000/Mwaka

CALL 0743 666 333 | 0622 666 333 Read more

Description

CALL 0743 666 333 | 0622 666 333

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account