MKOPO WA IPHONE
*Karibuni wateja mjipatie iphone mzipendazo kwa cash na mkopo pia
*kwa mkopo unapata kuanzia iphone 11 hadi iphone 15 iwe mpya au used zote zipo.
*tunafanya top up kwa mkopo pia, ukiwa na simu ya zamani iwe iphone, samsung, infinix au tecno njoo nayo ujipatie iphone yako uitakayo ambapo utaongeza pesa kidogo kwenye kianzio au hautatoa kabisa pesa kama simu yako imefikia kianzio cha simu yako ambacho ni 40% ya bei ya simu husika.
Karibuni biashara ni dukani sinza na mwenge
☎️0658803034