Houses/Apartments for sale
TZS 170,000,000
Houses/Apartments for sale
Dodoma
NYUMBA 4 KWENYE KIWANJA CHA 2600sqm, ZINAUZWA MICHESE DODOMA. zipo kilomita 8 kutoka mjini. Zipo jirani na reli ya SGR. Nyumba mbili zilizokamilika Zina muundo wa vyumba viwili vyote master sebule dinning na jiko. zingine mbili bado zinahitaji finishing. Moja ujenzi umefikia kwenye linta Ina vyumba vitatu vyote master, sebule, dinning na jiko. Nyingine ni se...
TZS 170,000,000