Samahani bidhaa hii haipatikani au inafanyiwa ukaguzi.

Rudi Ukurasa wa Mwanzo

Unahitaji Msaada? Wasiliana Nasi Hapa

Bidhaa Ulizoangalia

Patricia Mhekwa Patricia Mhekwa 1 year
Nyumba inapangishwa Mbweni Mpiji, Dar es Salaam. Kodi TZS 400,000 kwa mwezi.
TZS 400,000
Nyumba inapangishwa Mbweni Mpiji, Dar es Salaam. Kodi TZS 400,000 kwa mwezi.
Dar es Salaam
Nyumba stand alone inapangishwa Mbweni karibu na Nyaishozi college. Ina vyumba viwili master bedroom (self-contained). Ina sebule, jiko kubwa na stoo. Ina public toilet moja. Maji na luku inajitegemea. Kodi ni laki 400,000 kwa mwezi (negotiable). Malipo ya miezi 6. Nyumba ni mpya kabisa. Car parking space ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0758906593.
Nyumba za Kupanga Mbweni Mpiji
TZS 400,000
Are you a professional seller? Create an account