apartment inapangishwa nyasaka
TZS 500,000
apartment inapangishwa nyasaka
Mwanza
Apartment Inapangishwa Nyasaka -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, dinning, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi 500,000 kwa mwezi -malipo ni miezi 6 NB:- Familia mbili (2) ndani ya fensi
TZS 500,000