NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA BUSWELU -ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 300,00 kwa mwezi -malipo ni miezi 6 NB:- Nyumba zote tatu (3) zipo wazi ☎️ 0743220097