Executive Bamboo Gift Set
TZS 150,000
Executive Bamboo Gift Set
Dar es Salaam
Gift set ina bamboo items zifuatazo; Flask yenye kutunza joto/baridi 8+hours (500mls) Notebook Keyholder Flash GB 16 Pen PowerBank/CardHolder. Vyote vinaandikwa maneno utakayo/Logo. Vinafaa kumpa mtu zawadi au matumizi binafsi.
TZS 150,000