Iki ni kitabu Cha soft copy kimetengenezwa kwa ustadi na kufanya uweze kujua mapishi ya vitafunwa mbalimbali kwa ajili ya biashara au nyumbani bei ya ni Tsh10,000 ila ofa ya Sasa ni punguzo Tsh 5000
Printed Safari/Travel Pillow. Inakupa Comfortability ukiivaa uwapo safarini. Inakusaidia kuondokana na maumivu ya shingo kwa safari ndefu. Ni soft sana Inaandikwa (branding) jina utakalo. Zipo za rangi tofauti tofauti (nyingi)