Nyumba nzuri kubwa zipo 3 kwenye eneo Moja Kila Moja Ina rooms 3 na master room sebule kubwa Jiko store bafu na choo Cha public room Inauzwa sinza Mori Dar Bei maongezi yapo haidaiwi na mamlaka yoyote Ipo nusu km Toka barabarani ya shekilango
TZS 350,000,000
5 months agoHouses & Apartments for Sale127 people viewed
Nyumba ipo Mbweni inauzwa ipo vizuri sana eneo lake ni sqmeter 550 Imekamilika ina vibali vyote muhimu Haidaiwi na mamlaka yoyote bei inapungua maongezi yapo
TZS 170,000,000
5 months agoHouses & Apartments for Sale142 people viewed
Kiwanja kipo Mbweni kina eneo la sqmeter 1300 kipo barabarani kabisa Barabara ya lami kuelekea Mbweni Ndege Beach ni kama MITA 50 Toka barabarani Kina hati na kimepimwa bei Ina maongezi