Ilala
Fundi_tv
Huduma za Fundi TV - Musa Electronics Je, TV yako imeharibika au haifanyi kazi vizuri? Usihangaike! Musa Electronics inatoa huduma bora na za haraka za ukarabati wa TV aina zote kwa bei nafuu. Tunashughulikia: ==>TV zinazoonesha picha hafifu ==>TV zinazokosa sauti au picha ==>Ukarabati wa motherboard na skrini ==>Masuala ya umeme na mengine mengi...
Check with seller