Gari in engine 2TR, haijawahi kuguswa
Number DNK
Ipo kwenye condition nzuri kabisa, ilikuwa inatumika na mwanamke kwa matumizi ya nyumbani tu.
Ndani ipo vizuri sana smart radio, rim sport from America sio mchina, ina upgrade ya CNG... Vizuri kuiona kuliko mameno mengi
Gari haina udalali