Karibu ujipatie gaming keyboard kwa bei ya jumla na rejareja.
Ni keyboard inayo waka taa kwenye button zake na pia kwenye mouse.
Una pata keyboard pamoja na mouse yake.
Tuna tuma mikoa yote na kitu kizuri.Malipo ni baada ya kupokea mzigo karibu sana.
Tuko Dares salaam kimara Temboni.
Read more