Tiba ya ugonjwa wa acidi tumboni
Ungonjwa huu unasumbua watu wengi na wengi wao hua ningumu kuutanbua na kujua tiba zake nimekuwekea dalili zake pindi uonapo uweze kujua kua tayar unatatizo la acidi tumbon
Dalili zake ni pamoja na
*Kikohozi endelevu
Kikohozi kipo cha aina nyingi unaweza ukakohoa pengine unashida ya asthma,au maambukiziya njia ya hewa na mengine lakn kikohozi endelev kinachochukua kuanzia siku 14 na kuendelea ni dalili moja wapo
*Koo kuungua au kuchomachoma
Kuna muda unaweza ukahisi koo linawaka moto au kjna kitu kinachoma kwenye koo ukikohoa hakitoki
*Uchafu kwenye koo
Unaweza ukahisi kwenye kooo mda wote kunauchafu lakn ukikohoa hautoki
*Harufu mbaya mdomon
Kuna watu anaweza kupiga mswaki hata mala nne kwa siku lakin bado anatokwa na harufu mbaya mdomon ni wazi kua harufu hiyo inatoka tumbon kwa kusukumwa na hiyo gesi ya tumbo
*Maumivu ya kifua na kiungulia mala kwa mala moyo kuuma na kuchoma choma
*Chakula kupanda juu ya koo na kibeuwa au kucheuwa mala kwa mala
Madhara ya kuzidu kwa gesi tumbon ni pamoja na
#Kupata kansa ya koo
#Kansa ya tumbo na njia ya chakula
Namna ya kujikinga na tatizo hili
*Punguza vinywaji vya gesi mfano,soda,pombe
*punguza matumizi ya viungo vingi katika chakula
*punguza uzito
*Tumia mto wakati wa kulala ili kuzuia gesi isipande kwenye koo
@misho kabisa muone daktari pindi uonapo dalili moja kati ya hizo au zote
Au tupigie kwa ushaur zaidi
Read more