Minja real estate and Car Broker inakuletea:-
Nyumba inauzwa Malamba Mawili King'azi.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master.
Jiko na choo.
Sebule.
Kiwanja ukubwa wake Sqm 400.
Nyumba ipo km 3 kutoka barabara kubwa Kinyerezi Kifuru.
Bei Mil 35.
Piga simu au whats app 0687575770
Read more