Nyumba yenye vyumba vinne vya kulala, sebule, jiko, chumba kimoja kinajitegemea choo, kuna choo cha pamoja, ina ukuta mkubwa kwa usalama na faragha, ipo laini ya tatu kutoka njia kuu, nyumba ni kongwe inakalika, pia unaweza kuvunja na kujenga mpya.
Tutafute .