KIWANJA KINAUZWA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,000 -kina hati miliki ya wizara ( 99 yrs ) -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kina fensi pande tatu -bei Milioni 180 ( maongezi yapo ) ☎️ 0743220097
ENEO LINAUZWA KIGONGO FERRY -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limeshapimwa tayari -ukubwa wa eneo ni heka moja (1) -bei Milioni 20 ( maongezi yapo pia ) NB:- eneo lipo Km 2 kutoka daraja la JPM ☎️ 0743220097
Nyumba Inauzwa – Kimara, Dar es Salaam Bei: TZS 65,000,000 (Inayoweza kujadiliwa) Ukubwa wa Eneo: 25x25 sqm (Jumla sqm 650) Umiliki: Hati safi Hii ni nyumba ya makazi iliyojengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 25x25 sqm kilichopo Kimara, Dar es Salaam. Eneo lina uwanja mpana unaofaa kwa upanuzi wa baadaye au bustani. Umeme na maji vimeunganishwa, na mtaa ni...
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 40 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 4 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kuona bule asante sana
🏡 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KIMBIJI 📐 Ukubwa: 667.3 sqm 💰 Bei: Milioni 6 tu LIPA KWA INSTRUMENT 📍 Umbali kutoka Feri: Km 30 ✅ Barabara inafikika vizuri ✅ Huduma zote za kijamii zinapatikana ✅ Eneo zuri, tambarale na tulivu 📞 PIGA SIMU: 0653 358 435 / 0625 901 623 💬 GUSA LINK UCHAT na Meneja Mradi Anthonia kwenye WhatsApp: 👉 https://wa.me/255625901623 Furs...
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA-KWA MFIPA/GALAGAZA "Nunua ardhi sasa-wakiwa bado hawajauona thamani yake," Hivi viwanja vipo KIBAHA-KWA MFIPA/ GALAGAZA,unaweza kujenga nyumba za makazi au matumizi mengine kutokana maitaji yako. Miondombinu yote kama maji,umeme barabara na huduma zote za kijamii zinapatikana 👉 KIBAHA-KWA MFIPA-GALAGAZA Size: 20 x 20...........Bei Mil...
NAUZA NYUMBA HII ML.18 LOCATION .Mabwepande mtaa Mwendokasi. NYUMBA.in vyumba vitatu kimoja master toilet public kuna dinaroom chumba cha kupikia nyumba imeisha kabisa bado kuezeka tu UKUBWA.ni squer mitaa 400 Huduma za kijamii zote zipo Kiwanja kimepimwa ila hati bado utaratibu hatuja pata maana ni ofa kutoka kwa Raisi tume pimiwa wote.kwahiyo tuta uziana k...
NYUMBA INAUZWA MKOA -DAR-ES-SALAAM-Tz WILAYA - BAGAMOYO MAHALI - MBWENI KIHALAKA __________________________ BEI - MIL 150 MAONGEZI YAP0 ______________ UKUBWA KIWANJA - SQM 600 UMILIKI - NYARAKA ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI ZA MITAA ____________ NYUMBA KALI SANA YENYE __________ VYUMBA vitatu Vikubwa vya kulala Sebule kubwa Jiko kubwa Choo public Parking ya ku...