• Direction: Kwa Mfipa, Sagale Magengeni km 8 kutoka Morogoro Road
• Land Area:
- Land No. 54 Sqm 9,455
- Land No. 53 Sqm 6,853
- Land (skwata) Sqm 2,000+
TOTAL AREA: Sqm 18,308 (ekari 4.5)
• Document: Ofa (hati iko kwenye mchakato, itatoka muda wowote)
• Price: TZS 7,000/sqm AU milioni 128 kwa maeneo yote matatu
NB: Unaweza kununua eneo 1 au maeneo yote
.
✓ maeneo yote matatu yamefuatana
✓ miundo mbinu yote iko vizuri
✓ pako levo
✓ panafaa kwa uwekezaji
.
Vilivyomo ndani ya eneo:
✓ nyumba yenye 1 bedroom, living room & kitchen
✓ ofisi yenye 1 room & kitchen
✓ servant wing yenye 1 bedroom & storage room
✓ security wing 1
✓ common washroom 1
✓ mabanda: kuku 1, mbuzi na kondoo 1
✓ Miti: komamanga 4, Michungwa 12, miembe 40, limao 5, ndimu 4, michenza 6, stafeli 3, parachichi 6, topetope 3, mipera 3, nazi 6, zambarao 1, migomba 134, papai 314 na miti ya mbao 44
✓ solar panel na bwawa la umwagiliaji lenye uwezo wa kutunza maji mwaka mzima
Read more