Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50. Lipo Kiwangwa, Bagamoyo - Pwani. Bei ni Tsh 700,000 kwa heka moja. Umbali ni kilomita 3 kutoka barabara kuu ya lami. Eneo linafaa kwa kilimo, makazi, na ufugaji. Mawasiliano: 0653870009
Vinauzwa viwanja vilivyopimwa kuanzia sqm 400 hadi sqm 600 bei ni 6.5 milioni mpaka 9m ,viwanja vipo kelege Matumbi km 2 toka bagamoyo road piga 0754292666 kwa maelezo zaidi
ml 8 sgm 650 kiwanja kipo mapinga tungutungu klomita 2 kutoka bagamoyo rd pkpk elfu 1000 umefka hiki kiwanja kinatupwa mwenyewe anashida sana kimfaacho mtu chake Maongezi yapo
SHAMBA LINAPATIKANA KIWANGWA - BAGAMOYO Linauzwa shamba lenye ukubwa wa *hekari 50*. *Bei*: Laki 7 (700,000) kwa hekari moja *Mahali*: Kiwangwa, Bagamoyo – Mkoa wa Pwani *Umbali*: Kilomita 3 tu kutoka barabara kuu ya lami *Eneo linafaa kwa:* - Kilimo cha mazao mbalimbali - Ufugaji wa kisasa na wa kienyeji - Ujenzi wa makazi au miradi ya uwekezaji - Mazingira...
🌲vinapatikana kibaha Kwa Mathias 🌲Umbali ni km 5.5 kutoka barabarani..na barabara ya kwenda site ni lami 🌲Bei ni kuanzia milion 2 tu kwa ukubwa wa mita 15/15.. 🌴🌴Sehem ni tambarare.. maji, umeme, hospital, shule, nk vyote vipo karibu. 🌲Siku za kwenda site ni Kila siku piga simu au watsap 0612238874/ 0714499979 🌴🏠Karibuni sana
KIWANJA KIZURI CHA MAKAZI NA BIASHARA KINAUZWA HAPA OYSTERBAY DODOMA, KWA WEWE MUWEKEZAJI WA APARTMENT NA MADUKA TAYARI TUMEKUANDALIA RAMANI YA MAJENGO UNAWEZA KUONA IDADI YA NYUMBA ZITAKAZO WEZA KUKAA. UTAONA IDADI YA MADUKA YANAYO WEZA KUKAA HAPA, ✅Matumizi ni Makazi na Biashara SQM - 1100, Kiwanja hiki ni cha kwanza Barabara mpya ya Lami ya Oysterbay - un...