kiwanja kinauzwa kipo karibu na mji wa kiserikali(magufuli city) dodoma mjini, Kina ukubwa wa mita za mraba 1004 document zote zipo ni mchakato wa hati tu ndo utaufanya, Eneo ni zuri kwa ujenzi tambarale barabara ya mita 40 pia kimepakana na eneo la kituo cha mafuta mita chache mbele
BUSWELU ROUND ABOUT YA ILALILA KIWANJA CHA KWENYE LAMI KINAUZWA -ukubwa wa kiwanja 33x15 = 508 SQM -kiwanja kina hati miliki ya wizara -kiwanja kipo location nzuri Bei milioni 10 Kiwanja cha pili (2) kutoka kwenye lami