249 Products For Sale in 11063981
Explore products for sale in 11063981. Find great deals on electronics, furniture, vehicles & more from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Collin Singa
2 years
Kinanda
Check with seller
Kinanda
Dar es Salaam
Vinanda vipo unakaribishwa sana iko powa kabisa unakaribishwa sana ????ZINAPATIKANA KWA JUMLA NA REJAREJA . ????Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa vya maofisini na mashuleni (STATIONERIES) kwa bei ya JUMLA. (Rejareja inapatikana pia)
Check with seller
Collin Singa
2 years
Basketball
TZS 75,000
Basketball
Dar es Salaam
Mipira ya kikapu original ipo unakaribishwa sana iko powa kabisa unakaribishwa sana ????ZINAPATIKANA KWA JUMLA NA REJAREJA . ????Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa vya maofisini na mashuleni (STATIONERIES) kwa bei ya JUMLA. (Rejareja inapatikana pia)
TZS 75,000
Timothy Renatus
2 years
Ahmad Luonyo
2 years
DAWA YA KUONGEZA KINGA YA MWILI(CD4)
TZS 20,000
DAWA YA KUONGEZA KINGA YA MWILI(CD4)
Dar es Salaam
CD4 FORMULA ni dawa ya kupunguza makali ya VVU huongeza kinga ya mwili na kumpa mgonjwa nafuu na kumpa nguvu ya kufanya shughuli zake kama kawaida Ikiwa kinga ya mwili itapungua sana hupelekea kushambuliwa mara kwa mara na maradhi nyemelezi hivi hunashauriwa kuanza kutumia lishe ya CD4 kwa haraka sana
TZS 20,000
Ahmad Luonyo
2 years
DAWA YA UTI SUGU
TZS 10,000
DAWA YA UTI SUGU
Dar es Salaam
UTOMAC SYRUP Ni dawa mijarabu ya asili ni nzuri sana kwa UTI sugu imetengenezwa kwa kutumia mchanganyiko wa dawa kubwa zenye asili ya kiarabu zenye uwezo wa 1)kusafisha mkojo mchafu 2)kuzuia kukojoa damu 3)kuondoa maumivu wakati wa haja ndogo 4)kusafisha kibofu cha mkojo
TZS 10,000
Ahmad Luonyo
2 years
DAWA YA KUKOHOA NA KIFUA
TZS 5,000
DAWA YA KUKOHOA NA KIFUA
Dar es Salaam
LUO COUGH SYRUP ni miongoni mwa dawa nzuri sana ya asili yenye mchanganyiko wa dawa kubwa za kiarabu zenye faida ya 1)kutibu kikohozi 2)kuondoa uchakacho wa sauti 3)kupambana na mahambukizi 4)kutibu muwasho wa koo 5)kutibu vidonda kooni na kuhisi baridi 6)kupambana na kikohozi kifuani 7)kuondoa msongamano kifuani 8)kutibu kifua sugu 9)kutibu allerge
TZS 5,000
Ahmad Luonyo
2 years
DAWA YA KUBORESHA AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE
TZS 15,000
DAWA YA KUBORESHA AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE
Dar es Salaam
WOMAN FERTILITY HEALTH BOOSTER ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa dawa nyingi zenye asili ya kiarabu kwa manufaa ya 1)kusafisha mirija ya uzazi 2)kuondoa uvimbe na ovarian syst 3)kupevusha mayai na kuchevusha mayai kwa haraka 4)kuzuia mimba zisitungwe nje ya mji wa mimba 5)kuzuia mshambulizi ya PID,FUNGUS sugu na UTI 6)kupata ute wa ovulution 7)kubalance...
TZS 15,000
Ahmad Luonyo
2 years
DAWA YA NGUVU ZA KIUME
TZS 5,000
DAWA YA NGUVU ZA KIUME
Dar es Salaam
MALEGRA ni dawa ya asili ya India yenye uwezo mkubwa wa 1)kuongeza nguvu za kiume 2)kuongeza msisimko na hisia kali 3)kukupa uwezo wa kumudu tendo 4)kukupa nguvu ya kuchelewa kufika kileleni 5)kuongeza hamu ya tendo 6)hii ni kiki moja matokeo ni mara baada ya kutumia dawa HAINA MADHARA KWA MTUMIAJI
TZS 5,000
Ahmad Luonyo
2 years
DAWA YA NGUVU ZA KIUME
TZS 10,000
DAWA YA NGUVU ZA KIUME
Dar es Salaam
MALE LIBIDO BOOSTER Ni dawa ya asili ya kiarabu yenye mchanganyiko wa aina tofauti za virutubisho muhimu kwa hajiri ya 1)kuongeza nguvu za kiume 2)kuboresha mbegu za kiume 4)kuzalisha mbegu kwa wingi 5)kukupa nguvu ya kumudu tendo 6)kuongeza msisimko na hisia 7)kukupa nguvu kurudia mara nyingi 8)hinaponyesha kwa walioathirika na punyeto HAIACHI MADHARA KWA M...
TZS 10,000
Pro
Sudi
2 years
VYETEZO VYA MKAA NA UMEME
Check with seller
VYETEZO VYA MKAA NA UMEME
Dar es Salaam
Njoo ujipatie vyetezo vizuri vya mkaa na umeme kwa bei nafuu na vyenye ubora wahi sasa Tunapatikana Tandika mtaa wa chihota karibu na CRDB Bank au piga simu namba 0655426060
Check with seller
Pro
Sudi
2 years
ORCHID PERFUME
TZS 15,000
ORCHID PERFUME
Dar es Salaam
Ni moja ya perfume ya kiume yenye harufu nzuri na ubora wa hali ya juu.Harufu Safi kabisa isiyokera Utaipata kwetu kwa bei nafuu kabisa.
TZS 15,000
Pro
Sudi
2 years
SHOWER GEL GOLDIE
TZS 15,000
SHOWER GEL GOLDIE
Dar es Salaam
Ni kwajili ya matumizi ya kuongea inasaidia kuondoa harufu mbaya mwilini na kuifanya ngozi yako kuwa yenye afya
TZS 15,000
Pro
Sudi
2 years
Pro
Sudi
2 years
ROYAL PERFUME
TZS 10,000
ROYAL PERFUME
Dar es Salaam
Hii ni perfume ya kiume yenye harufu nzuri iliyopoa inapatkana kwetu kwa bei nafuu kabisa wahi sasa
TZS 10,000
Pro
Sudi
2 years
FACE AND BODY CREAM
TZS 12,000
FACE AND BODY CREAM
Dar es Salaam
Hii ni cream isiyochubua hata kidogo inafaa kwa wanaume na wanawake inaondoa weusi uliotokana na jua pia inafanya ngozi yako kuwa nyororo na muonekano mzuri,kwa wale pia ambao walitumia mikorogo na ngozi ikaharibika hii ndio solution ya tatzo lako
TZS 12,000
Pro
Sudi
2 years
ALIUDI
TZS 2,000
ALIUDI
Dar es Salaam
Aliudi zenye ubora na harufu nzuri kabisa hizi utazipata kwetu kwa nafuu sana tofauti na sehem zingne zote njoo ujionee na uchague kilicho bora kabisa
TZS 2,000
Pro
Sudi
2 years
MINI CRYSTAL
TZS 4,000
MINI CRYSTAL
Dar es Salaam
Hizi ni Mini Crystal zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu na harufu nzuri zenye kukufanya ujiamini sehem popote uendapo.
TZS 4,000
Pro
Sudi
2 years
HEEL BALM
TZS 5,000
HEEL BALM
Dar es Salaam
Kama unasumbuliwa na magaga hili ndio suluhisho la matatizo wahi sasa jipatie Dawa hii kwa bei nafuu kabsa.
TZS 5,000
Pro
Sudi
2 years
SAUVAGE PERFUME
TZS 25,000
SAUVAGE PERFUME
Dar es Salaam
Hii ni perfume Original kabisa yakiume na inauwezo wakukaa ktk nguo zaid ya masaa 24 wahi sasa ujipatie kilicho bora kutoka kwetu.
TZS 25,000
Pro
Sudi
2 years
Christmas Offer
TZS 30,000
Christmas Offer
Dar es Salaam
Jipatie Full set ya PURE OUD ikiwa ni perfume na spray yake .Hii utaipata kwetu kwa bei nafuu kabisa.Wahi sasa ujipatie manukato aina tofauti kutoka dukani kwetu zipo za aina zote zakike na kiume.
TZS 30,000
Pro
Sudi
2 years
Christmas Offer
TZS 25,000
Christmas Offer
Dar es Salaam
Kwa msimu huu wa sikukuu jiandae kwa kujipatia perfume zenye ubora kwa bei nafuu kabisa zenye kiwango na harufu nzuri.Jipatie perfume ya DESERT SULTAN original kabsa
TZS 25,000
rommy shabby
2 years
owen phiri
2 years
Impreza
TZS 16,500,000
Impreza
Dar es Salaam
Very good condition Automatic transmission 2007 model Mileage 131,000km Coil overs Dump valve Kim map 6 gauges 18" 235 wide tyres 15 offset New tyres Racing aluminium radiator Wrc spoiler Body kit Android smart radio with woofer New brakes fully serviced Call me on 0654 2222 84
TZS 16,500,000
Leonard Lugomela
2 years